Pesa/mali ya dhamana inarudishwa?

dj-sulleh

Member
Joined
Jul 17, 2015
Posts
75
Reaction score
22
Samahan wapendwa naomba kuuliza hv mtu ukijidhamin mahakaman kwa hela baada ya kesi unarudishiwa helaa au inakuwaje tafadhali naimba nifumbue
 
Lazima urudishiwe aidha uonekane na hatia au la. Ila kama utatakiwa kulipa faini ya pesa na uka huna au pungufu basi ile dhamana yako inaweza kuchukua nafasi. Sina uzoefu lkn .nachangia kwa maono yangu.
 
Kwangu mm ninavyojua mahakaman kuna dhamana ya maneno unamdhamini mtu kwa maneno ili huyu mtu akikimbia ww ndo utalipa hiyo pesa..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…