uvugizi
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 1,278
- 956
Unavyosikia kwamba hela ni wazo ina maana chimbuko lake ni kwenye akili lakini swali kubwa ni akili zetu zina nini?
Hilo ndiyo swali kubwa haswa. Ukiona hela hauwezi kuipata angalia kwanza kwenye akili yako kunanini au umeweka nini. Kama akili yako imejaa matumizi, kula bata (starehe), sahau na Muda si mrefu zitakimbia sababu pesa ni roho.
Angalia sana uhusiano wako na dunia ( mke, mume, rafiki, vitabu, imani yako, ndugu zako, shauku yako). Vina mchango mkubwa sana wa kwenda mbele au kurudi nyuma.
Unaweza kuachana na kutoka kwa mtu mbaya lakini ni ngumu na kama huna neema ya Mungu kutoka katika uhusiano mmbaya.
Uhusiano mbaya inaweza ikawa uzinzi, ulevi, uroho, kusengenya, kuongea sana hata kama huna cha kuongea, kutaka kujua ya wengine hata kama hayakusaidii, kutosaidia watu na pesa zako( to be philanthropist)nk.
Huwezi kumdharau secretary wa boss ukamuheshimu boss, kuna siku utakwama. Pesa na mawazo yako ni mapacha wawili wanatofautiana sekunde au masaaa tu.
Waheshimu watumishi wa Mungu ndipo na Mungu utamuona, pamoja na uchumi wako.
Ayubu 22:21 says " Mjue sana Mungu , ili uwe na amani: ndivyo mema yatakavyokujia.