Pesa ndio kila kitu au kuna mengine zaidi ya pesa kwenye mapenzi

chizcom

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
8,680
Reaction score
18,035
Yani kuna kajamaa haka sikajui jina ila kana mwanamke ambaye kama ukiwa naye tanzania kwa umbo lake unaweza kufa kwa presha.maana pesa itamchukua haraka kwa njia yoyote.

Jamani mimi nashindwa kuelewa ni pesa au kingine kilicho mfanya huyu mwanamke

 
Huyu dada anataka Kiki tu Wala sio pesa wanaimba wote mziki wakiwa na hyu mwanaume anapata Kiki Sana.
 
Apo mzigo anapiga vip mkuu au anaingia mzima mzima ukošŸ¤”
 
Hisia ndio kila kitu .,

Sent from my Infinix X692 using JamiiForums mobile app
 
Pesa siyo kila kitu but pesa ni muhimu kwenye mahusiano.
 
Hapendwi Mtu Inapendwa Pesa
By Jiwe
 
Mapenzi siyo SoMo ukasome kwakitabu
Penzi halijari masikini waweza penda mtu yeyote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…