Vodacom Tanzania
Official Account
- Aug 12, 2013
- 324
- 126
Kha kwani umelazimishwa udumu mpaka wakupe/ uwalazimishe offer?inaonekana umedumu mda mrefu sababu wanakuhudumia vizuri na wewe umeridhika.win winHivi nyie vodacom kwann hamtoi special offer kwa wateja wenu wa muda mrefu?? mfano wenye namba 0754 obviously ni wa zamani kwanini hamjui kuwashukuru wateja wenu kwa kukaa na nyie miaka yote hiyo?? au kuna vigezo gani hua mnavifanya.
Na ndio maana nikawauliza voda maana wao ndio wafanya biashara, sasa kama wewe hata genge hujawahi kuuza utajuaje jinsi ya kumkirimu mteja??Kha kwani umelazimishwa udumu mpaka wakupe/ uwalazimishe offer?inaonekana umedumu mda mrefu sababu wanakuhudumia vizuri na wewe umeridhika.win win
Hello,Hivi nyie vodacom kwann hamtoi special offer kwa wateja wenu wa muda mrefu?? mfano wenye namba 0754 obviously ni wa zamani kwanini hamjui kuwashukuru wateja wenu kwa kukaa na nyie miaka yote hiyo?? au kuna vigezo gani hua mnavifanya.
Karibu tukusaidie Jaslaw,Hivi nyie voda ni nani kawaruhusu kuingia humu jf!?nyie ni matapeli wakubwa!!
Promosheni bado inaendelea na unaweza kujishindia Mapene kwa kutuma sms yenye neno CHEKI kwenda namba 15544Hivi Vodacom Tanzania tusua mapene inaisha lini?
Swali lingine majibu mengine,Hello,
Tuna Ofa mbalimbali kwa wateja wetu, kwa sasa kuna ofa ya YakwakoTu ambayo inapatikana kwa kupiga *149*01# na pia zawadi za MB na Dakika kwa kila mtumiaji wa huduma za M-pesa.
Karibu sana.
Nyie hamjali wateja mtu Yuko anatumia voda zaidi ya Miaka 10 umnamdanya na vi mb15 kama zawadi .....Karibu tukusaidie Jaslaw,
Kipi kinakutatiza?
Liwa hela tusua mapenePromosheni bado inaendelea na unaweza kujishindia Mapene kwa kutuma sms yenye neno CHEKI kwenda namba 15544
yaan apa ndo watanzania tunaibiwaPromosheni bado inaendelea na unaweza kujishindia Mapene kwa kutuma sms yenye neno CHEKI kwenda namba 15544
Jibuni tuhuma za kuuza namba ya ben saanane, ni kitu very sensitive!Karibu tukusaidie Jaslaw,
Kipi kinakutatiza?
Haha Voda mnambwembwe nyieHello,
Tuna Ofa mbalimbali kwa wateja wetu, kwa sasa kuna ofa ya YakwakoTu ambayo inapatikana kwa kupiga *149*01# na pia zawadi za MB na Dakika kwa kila mtumiaji wa huduma za M-pesa.
Karibu sana.
Unalipa kwa M-pesa then wanakupa dk 1 [emoji1] [emoji1] [emoji1]Nyie hamjali wateja mtu Yuko anatumia voda zaidi ya Miaka 10 umnamdanya na vi mb15 kama zawadi .....
Hyo lipa kwa Mpesa upate zawadi ni ulaghai tu
Ova