Pesa ni M-Pesa, Lipa kwa M-Pesa pata zawadi za papo hapo

Umeshawahi kufanya malipo kwa kutumia huduma ya Lipa kwa M-Pesa?


  • Total voters
    24
  • Poll closed .
Na ndio maana nikawauliza voda maana wao ndio wafanya biashara, sasa kama wewe hata genge hujawahi kuuza utajuaje jinsi ya kumkirimu mteja??
Lol.
We ushatoa ofa kwa wateja wako?

Kama mnalazimishwa yaan
 
Nyie hamjali wateja mtu Yuko anatumia voda zaidi ya Miaka 10 umnamdanya na vi mb15 kama zawadi .....
Hyo lipa kwa Mpesa upate zawadi ni ulaghai tu

Ova
Heee mwanaume naye anataka vya bure my GOd
 
Voda matapeli tu! Unaweka mb alafu wanaziiba wanakwambia zimeisha ndani ya mda kidogo
Nenda vodacom kibo complex pale kuna kitu huwa wanafanya unakuwa poa kuna wakati nilikwa ntajiunga gb1 ndani ya dk 10 inakata na hapo sijazama hata YouTube bado wala Google nikawafata
 
Voda kwenye utapeli nawapa 100% mnajitahidi kutuibia nimenunua Umeme toka mwezi wa 10 hadi leo hamja nitumia Token elf 50,000 ndio mmeniibia sio?

We jamaa haiko serious kweli umeahindwa kuwapigia au kuwafata Mzeeeee 50 paref sana
 
Kwann mnapindisha ushahid kwa Kuuza namba ya BEN SAANANE wakat mnajua taasisi nyeti Za upelelez bado hazijatoa ripoti yeyote juu ya swala hili majibu tafadhari
Wewe report za upelelezi ushawah ona unapewa wapi hiyo achia wenye kazi yao yeriko anawapoteza
 
Voda wamezalai Kwa maswali ya wateja
Wamekimbia hawana majibu! Thread hii iwasaidie kujirekebisha maana kila mteja analalamika. Siku wakianza kuona wateja wanawahama kwa kasi ndo watajifunza japo wanaweza kuwa wamechelewa maana ukishampoteza mteja kumrudisha ni kazi
 
Kwanza niwapongeze Vodacom Tanzania kwa kukimbia maswali ya waulizaji walotangulia, mnastahili tuzo kwa hilo[emoji2][emoji2]..
Swali la msingi Nawezaje zuia sms yenu ya PESA NI MPESA, BIKOSPORTS,TATUMZUKA zisiingie kwenye simu yangu?..
Block number mkuu hasa ikiwa na app ya .......... Jina limenitoka ile inayoonesha Jina LA mpigaji hata kama hujasave namba
 
Heheheh Dada unabidii ya kudai ofa mmmm wanaume tujipange kwa hapa[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji23]
 
Kwanini mnagawa namba zangu kwa waganga wananitumia ma sms yasio na maana.
 
Nililipa kwa m-pesa thamani ya Tsh 250,000/= lakini nikaambiwa niambatanishepo na gharama za makato tsh 5000 ambayo ndo makato ya kawaida ya kutolea kwa m-pesa na nyie mnasema lipa kwa m-pesa ni bure?????
 
Nimedeposit pesa zangu sehemu mpaka sasahivi hakuna sms yeyote ila nikijaribu huduma zingine zinakubali..soon nawahama
 
Naona mmepotea kwenye uzi wenu wenyewe!, huyu afisa masoko mliyemuacha kucomment hajui kazi yake vizuri sisi tunataka serious answers!!...
 
Vodacom, mbona loan limit yangu ya M-PAWA haiongezeki? Nimekuwa nakopa na kulipa kwa wakati lakini imegota pale pale kwenye 144,500/= kwa muda mrefu sana. Nilipiga simu nikaambiwa niwe nafanya transactions mara kwa mara, ikiwezekana kila siku, kati ya M-PESA na M-PAWA, nimefanya hivyo lakini wapi.

Tatizo ni nini?
 
Kwa nini Vodacom M-PAWA loan limit yangu haiongezeki?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…