Mbao za Mawe JF-Expert Member Joined May 11, 2015 Posts 23,372 Reaction score 54,943 Dec 17, 2017 #61 Hiki kimtandao kimekuwa ovyo sana mimi nakitumia kwenye sms tu na Demu wangu mbali na hapo sina matumizi na nyie.
Hiki kimtandao kimekuwa ovyo sana mimi nakitumia kwenye sms tu na Demu wangu mbali na hapo sina matumizi na nyie.
Singidan JF-Expert Member Joined Aug 24, 2015 Posts 881 Reaction score 942 Aug 20, 2018 #62 Vodacom Tanzania ni hatua na vigezo vya kupata laini ya M_pesa yenye mfumo wa kulipa kwa kutumia NAMBA YA KAMPUNI na KUMBUKUMBU NAMBA!! Yaani namaanisha mteja akihitaji kulipia bidhaa kwangu, aingize namba yangu ya Kampuni na kumbukumbu namba
Vodacom Tanzania ni hatua na vigezo vya kupata laini ya M_pesa yenye mfumo wa kulipa kwa kutumia NAMBA YA KAMPUNI na KUMBUKUMBU NAMBA!! Yaani namaanisha mteja akihitaji kulipia bidhaa kwangu, aingize namba yangu ya Kampuni na kumbukumbu namba