Pesa,sarafu na noti zenye picha au chapa ya wanyama

mayoscissors

JF-Expert Member
Joined
Nov 24, 2009
Posts
975
Reaction score
478
Je kwa nini pesa zetu zina picha au chapa ya nembo za wanyama!
 
Dah hili swali lingekua darasani ningesumbua kichwa ila niache kwanza boss
 
Nadhani ni moja ya kuwakilisha utalii unaopatikana Tanzania.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…