kwisha JF-Expert Member Joined Sep 9, 2021 Posts 1,779 Reaction score 4,982 Aug 24, 2022 #1 Kuna wadada kipindi nipo mdogo nilikuwa natamani saana kukutana nao live na wengine nilikuwa natamani saana kula njegere zao kabisa Ila nashukuru kuna ambao nimekutana nao na wengine nimekula njegere kabisa Pesa raha saana
Kuna wadada kipindi nipo mdogo nilikuwa natamani saana kukutana nao live na wengine nilikuwa natamani saana kula njegere zao kabisa Ila nashukuru kuna ambao nimekutana nao na wengine nimekula njegere kabisa Pesa raha saana
Restless Hustler JF-Expert Member Joined Apr 9, 2017 Posts 5,150 Reaction score 20,025 Aug 24, 2022 #2 Lakini hayo siyo matumizi sahihi ya pesa. Acha utoto
The Eric JF-Expert Member Joined Feb 23, 2019 Posts 6,446 Reaction score 10,976 Aug 24, 2022 #3 Sawa 🤣🤣🤣
O On This One JF-Expert Member Joined Nov 30, 2021 Posts 532 Reaction score 469 Aug 24, 2022 #4 Kwahiyo umeshindwa kula njegere bila kutoa pesa
Lovelovie JF-Expert Member Joined Oct 2, 2021 Posts 12,582 Reaction score 26,053 Aug 24, 2022 #5 kwisha said: Kuna wadada kipindi nipo mdogo nilikuwa natamani saana kukutana nao live na wengine nilikuwa natamani saana kula njegere zao kabisa Ila nashukuru kuna ambao nimekutana nao na wengine nimekula njegere kabisa Pesa raha saana Click to expand... Mwenye pesa ni ww au mjomba ako siku hizi anatumia account yako....Maan hauna huo ubavu
kwisha said: Kuna wadada kipindi nipo mdogo nilikuwa natamani saana kukutana nao live na wengine nilikuwa natamani saana kula njegere zao kabisa Ila nashukuru kuna ambao nimekutana nao na wengine nimekula njegere kabisa Pesa raha saana Click to expand... Mwenye pesa ni ww au mjomba ako siku hizi anatumia account yako....Maan hauna huo ubavu