Pesa Wanazolipwa wasanii kwenye show zao lazima walipe kodi, TRA na SERIKALI kazi kwenu.

Pesa Wanazolipwa wasanii kwenye show zao lazima walipe kodi, TRA na SERIKALI kazi kwenu.

chotera

JF-Expert Member
Joined
May 19, 2016
Posts
6,560
Reaction score
15,864
Wanabodi nawasalimu kwa heshima.
Naomba nitoe pole kwa wanajamvi wote kwa mihangaiko ya hapa na pale.
Pili naomba niwaeleze serikali yangu kua kila senti wanayolipwa hawa vijana wetu wailipie kodi ili serikali ichukue chake na wao wabaki na chao.
Kwa mfano msanii wa muziki ana show masasi na mwandaaji au promoter wamekubaliana kulipana milioni 10 kwa show hiyo, inatakiwa TRA ya masasi ihakikishe imepata 18% ya hiyo milioni kumi ndio tutaweza kukuza sanaa yetu.
 
Madalali na wenyewe walipe kodi. Ili nao waishi kama mashetani
 
Naona mnawachokonoa TEAM HATERS


WANAJIJUA WENYEWE KWA SHIW ZA BUKU JERO MPAKA BAR
AFU WALIPE KODI????


WALAU KALE KABISHI KA TANDALE/MADALE KATALIPA MAANA KANA MSIMAMO NA KUCHAJI KWAKE KWA UFANYAJI WA SHOW

ATLEAST NA VANESA MDEE WALAU ANAKUJAKUJA KWA MSIMAMO WA KUFANYA SHOW NA MKWANJA WA MAANA KIDOGO






ILA WENGINE WANADANGANYWAGA KWA FIESTA MIAKA NENDA RUDI,WANALIPWA VIJISENT MPAKA UNAWAONEA HURUMA SOMETIME WANAVYOISHIWA NA HAWANA HATA BUKU MFUKONI
 
Watangazaj wote nao wakatwe
Kod ispokua dinnamarios wa efm

Triple A
 
Msanii anapata 10mil kwa usiku tu halipi kodi ila msomi analipwa laki 4 akatwa weee.
 
Back
Top Bottom