Pesa ya field 2013/2014 Bado tu!?

Pesa ya field 2013/2014 Bado tu!?

issawema

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2013
Posts
776
Reaction score
643
Jaman hili swala lmekuwa donda sugu mpaka leo hatujui hatma ya hzo hela kama tunapata au laaa
tumeeendelea kuckilia porojo kila cku mara leo mara kesho lakin mpaka wa leo kmya.

sasa kwa yoyote anayejua nini tatizo na je matumaini yakupata yapo na kwa sisi wa UDOM ambao hata hatukusign itakuwaje
 
tulizeni boli vijana serekali haina pesa imefilisika !!!!!
 
Back
Top Bottom