Jaman hili swala lmekuwa donda sugu mpaka leo hatujui hatma ya hzo hela kama tunapata au laaa
tumeeendelea kuckilia porojo kila cku mara leo mara kesho lakin mpaka wa leo kmya.
sasa kwa yoyote anayejua nini tatizo na je matumaini yakupata yapo na kwa sisi wa UDOM ambao hata hatukusign itakuwaje