Patrick Andrew
Member
- Feb 20, 2014
- 13
- 1
Udsm, udom & Sauti bado hakieleweki ni lini hasa watapatiwa pesa hizo government iko wapi jamani.......!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona mimi sina hela ya mkopo na naishi hadi leo sijafa,fanya assumption kama huna mkopo vile uone kama utakonda,
mkuu uwe unajaribu kutumia A.K.I.L.I hata kiduchu unapotoa hoja kwenye mada kama hizi. Watu wanadai haki zao wew unabwabwaja U.H.A.R.O wako hapa. Inamaana unatetea kitendo cha serikali kuchelewesha haki za msingi za wanafunzi ambazo zimebainishwa wazi kwenye mkataba wao na loan board? Ukifikiria kwa mapana utakuta maisha ya watanzania yanatofautiana baina ya mtu na mtu/familia kwa familia sasa kama wewe unaweza kujikimu usijilinganishe na watoto wa masikini wanaosoma kwa kutegemea mkopo.
Rethink.
Mbona mimi sina hela ya mkopo na naishi hadi leo sijafa,fanya assumption kama huna mkopo vile uone kama utakonda,
mkome kuisapoti ccm!
mkome kuisapoti ccm!