Pesa ya field kwa wanachuo bado kitendawili

Joined
Feb 20, 2014
Posts
13
Reaction score
1
Udsm, udom & Sauti bado hakieleweki ni lini hasa watapatiwa pesa hizo government iko wapi jamani.......!!
 
ardhi pesa walizitoa wap.............mbona tulipewa kabla hatujamaliza ue.......................love u my chuo
 
Mbona mimi sina hela ya mkopo na naishi hadi leo sijafa,fanya assumption kama huna mkopo vile uone kama utakonda,
 
Mbona mimi sina hela ya mkopo na naishi hadi leo sijafa,fanya assumption kama huna mkopo vile uone kama utakonda,

mkuu uwe unajaribu kutumia A.K.I.L.I hata kiduchu unapotoa hoja kwenye mada kama hizi. Watu wanadai haki zao wew unabwabwaja U.H.A.R.O wako hapa. Inamaana unatetea kitendo cha serikali kuchelewesha haki za msingi za wanafunzi ambazo zimebainishwa wazi kwenye mkataba wao na loan board? Ukifikiria kwa mapana utakuta maisha ya watanzania yanatofautiana baina ya mtu na mtu/familia kwa familia sasa kama wewe unaweza kujikimu usijilinganishe na watoto wa masikini wanaosoma kwa kutegemea mkopo.
Rethink.
 

Mimi mwenyewe maskini vile vile,ukiona bodi hawajatoa hela ujue na wao hawajaingiziwa,na ujue kama serikali nayo inaishiwa pia so usiforce tu na wewe,au hujui kama hii nchi ni maskini nayo,then maneno yako shombo nitakupa tusi moja kubwa mimi nipigwe ban lakini mama yako lazima atapata habari huko kijijini aliko,take care
 
Mbona mimi sina hela ya mkopo na naishi hadi leo sijafa,fanya assumption kama huna mkopo vile uone kama utakonda,

wewe ni mbinafsi,unajifikiria wewe tu,unafikiri kila mtu ana uwezo kama wako?
 
mkome kuisapoti ccm!

Kwaiyo wangekuwepo chadema madarakani ndo wangeiinya iyo hela ya mkopo? Nyie wenyewe mkiambiwa mlipe kodi ya simu ile ya buku buku ili taifa liongeze mapato yake , mnang'aka. Itafikia mda ata mkeo akipika chakula vibaya ni ccm.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…