pesa ya kujikimu walimu Grade3

pesa ya kujikimu walimu Grade3

kipoma

JF-Expert Member
Joined
Aug 27, 2012
Posts
370
Reaction score
296
kwa anayejua pesa ya kijikimu ni kiasi gani, anijuze haraka .
 
Na vp walichaguliwa vyuo vya ualimu kuna boom na kulipiwa ada au haipo iyo.
 
Na vp walichaguliwa vyuo vya ualimu kuna boom na kulipiwa ada au haipo iyo.

ipo kama kawaida, ingawa wanaweza kuchelewesha boom ila watatoa tu maana tayari serikali ilishapanga ndiyo maana imechagua wa kujiunga vyuo.
 
Back
Top Bottom