Pesa ya kujikimu walimu Tarajari,

Realbest

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2013
Posts
812
Reaction score
300
Hv pesa ya kujikimu inakuwa kiasi gani kwa mwlm wa grad A, Stashahada, & shahada? na je kunakurudishiwa nauli yako? ningependa kujua wadau? please
 
nauli utarudishiwa ila uende na ticket yako ya garibasi .. pesa ya kujikimu siku7.. itategemea umepangwa wapi. jijini hupataga iliyozidi na wa halmashauri/vijijini hupungua kidogo.. figure kamili watakuwekea wadau
 
ninavyosikia pesa ya kujikimu kwa wanaokwenda shule za kijijini walio na degree ni shl 65000Kwa siku na 95000kwa siku kwa wale watakaopangiwa shule za mjini
 
ACHA MAMBO YAKO WEWE. Waalimu tarajali wanakuwa chuoni na si hawa unaowazungumzia hapa. Janjaruka.
 
mmeanza upumbavu wenu ndo mana mnatukanws ovyo we anza kufuatilia kwa seniors kwan we kama mwalimubc umesoma chuo hauna mwalimu mwenzio unaemfaham alliekuzid mwaka ambae ameshaajiriwa mpigie simu umuulize kuliko kuja kuhichoresha huku we unajua fedha za kujikimu kwa alieajiriwa crdb na kwa nn hawaulizi ovyoovyo shtuka
 
tusubiri, maake naona chenga tu
 
Grade a & diploma 35 kwa siku 7, degree 45 kwa siku 7 kwa wale wote watakaopangwa wilayani ukiacha wale wa manispaa au jiji.
 
Kwann walimu tupata hivi vijisenti,tumeikosea nn TZ,tutakutana 2015 kitaeleweka tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…