Pesa ya Mdhamana!!

Pesa ya Mdhamana!!

agala

Member
Joined
Sep 13, 2011
Posts
57
Reaction score
12
Hivi ile pesa wa mdhaamana huwa inarudi au kurudishwa kama mshatikiwa akishinda kesi??
 
inarudi lakini kama ni kiasi kidogo unaweza kuisamehe kwani kuna usmbufu kuifuatilia
 
Back
Top Bottom