Pesa ya Zimbabwe hali ni hii Je? Pesa ya Tanzania itakuwaje baada ya miaka 5 ijayo???

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
42,872
Reaction score
34,363
Milioni moja za Zimbwabe = Baiza mia za Oman

Inamaana ukiende hoteli ya hali ya juu inabidi ubebe mfuko mkubwa wa noti


Na kulipa kwa Visa Card hairuhusiwi kwa hiyo inabidi ubebe mfuko mkubwa wa noti

Kila mtu ana ma-bilioni lakini ni masikini

Noti moja tu ya Milioni Mia Tano




Mfuko wa chakula cha kukauka kwa 50 milioni



Khas 5, kwa milioni moja







Kuku Milioni 10


Bili ya Dinner (Malipo ya Chakula cha usiku tu)


Dola Moja sawa na Noti zote hizi


__________________Kuku Mmoja bei gani hapo bongo?
 
Bora wenzutu wanaweza wakawa na sababu je sisi tutajitetea na lipi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…