Pesa yako kubwa kuishika mwaka huu 2024 ni kiasi gani?

Pesa yako kubwa kuishika mwaka huu 2024 ni kiasi gani?

Moto wa volcano

JF-Expert Member
Joined
Jun 3, 2018
Posts
1,148
Reaction score
2,815
Habari wadau na ma Hustlers wote , mwaka huu wa 2024 ndio upo ukingoni tumebakiwa na miezi michache tuufunge mwaka.

Mwaka huu ulivyoanza watu walikuwa na slogan ya mwaka wa Ku force, swali la kizushi je ni kiasi gani cha pesa kikubwa ulichofanikiwa kukipata mpaka sasa? Na je, unahisi umefikia malengo yako ndani ya mwaka huu?
 
Toka mwezi january nipo nachechemea na akiba ya 1M haiongezeki ikiongezeka kidogo inashuka duh.
 
Sema milioni kumi na saba na laki tano, watu hawana hata D2 wakang'amua ujumbe wako kweli?
🙄🙄🙄🙄🙄🙄🙄
Ningeshika hiyo na kukuacha ningekuacha🤣🤣🤣
 
Sijashika kabisa pesa kubwa tofauti na chenchi za mboga
 
Tangu nizaliwe huu ndo mwaka nimeshika hela nyingi kwa pamoja milioni kumi na saba,,, tena kwa kupiga mitikasi yangu ya hapa na pale si kwamba labda nimeuza shamba,,, asante mungu kwa huu mwaka pia natumaini mwaka ujao nitashika hela zaidi ya mwaka huu inshallah, , sijaajiliwa just mission town
 
Back
Top Bottom