Pesa za kuendesha vyama zinatoka wapi??

mstahiki

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2007
Posts
308
Reaction score
7
Naomba kujua pesa za kuendesha vyama zinatoka wapi??
Ni kwanini Vyama visiwe na miradi yake ili kuviwezesha kuwa na kipato na kujiendesha kama Marehemu SUKITA?
Naomba msaada wadau...
 
kaka vyama siku hizi ni biashara kwa hiyo matajiri wanawekeza, siku chama kikikomaa kama CCM ndio waliowekeza wanavuna vizuri na kuwaachia watoto wao na wajukuu chama kama kampuni yao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…