ADAM SMITH
Member
- Apr 8, 2014
- 81
- 23
wakati walimu wengine wapya katika halmashauri nyingine kama ilemela,kigoma mjini,kakonko nk..wakiwa wamepew pesa ya kujikimu ya siku saba. Walimu wapya wa bukoba mjini wamepew pesa ya siku tano tu, yaan elfu 65 kwa shahada ambayo n 325000 na elfu 45 kwa stashahada. Ambayo ni 225000. TAMISEMI TUNAOMBA MSAADA WENU.