Pesa za kujikimu za Walimu wapya manispaa ya Bukoba bado hazijalipwa zote.

ADAM SMITH

Member
Joined
Apr 8, 2014
Posts
81
Reaction score
23
wakati walimu wengine wapya katika halmashauri nyingine kama ilemela,kigoma mjini,kakonko nk..wakiwa wamepew pesa ya kujikimu ya siku saba. Walimu wapya wa bukoba mjini wamepew pesa ya siku tano tu, yaan elfu 65 kwa shahada ambayo n 325000 na elfu 45 kwa stashahada. Ambayo ni 225000. TAMISEMI TUNAOMBA MSAADA WENU.
 
Hii pesa ya kujikimu inamizengwe kweli yaani, huku Kyela tumepewa hela ya siku 3 @day ni 45000 =135,000 (shahada)

Ambacho sijaelewa, hii pesa niliyo pewa ni ya kufanyia nini maana hata godoro hainunui.
 
Ukistaajabu ya BUKOBA/KYERA utayaona ya huku kwetu SENGEREMA! Walimu tumelipwa pesa ya kujikimu ya siku tatu tu, ambazo ni sh.90,000+nauli ya kutoka kwenu kwa walimu wa cheti! JE TUTAISHIJE???
 
Last edited by a moderator:
Waziri wenu akishakanusha bungeni kuwa mlipwa za siku 3 kwanza alaf mtamaliziwa pale mtapokua mmeripoti na taarifa za kujirizisha ka mpo vituon mwenu mwa kaz zitawafkia kwan watu wamekua wakiziramba na kutokomea.
Nilimsikia akisema Pesa zipo ila tu kama juu hapo nlvyokuelewesha
 
Ukistaajabu ya BUKOBA/KYERA utayaona ya huku kwetu SENGEREMA! Walimu tumelipwa pesa ya kujikimu ya siku tatu tu, ambazo ni sh.90,000+nauli ya kutoka kwenu kwa walimu wa cheti! JE TUTAISHIJE???

change we need. Me and you are the one who are responsible for this..
 
Last edited by a moderator:

mkuu kama mimi binafsi nimeripoti muda uliopangwa
na nimekamilisha taratibu zote lakini mpaka leo tar 10 april bado sijamaliziwa pesa zangu za kujikimu pamoja na nauli.
 
hafu nyie walimu ndo wadau wa CCM nyie.fundisheni watoto mabadiliko
 
Mbona halmashauri zingne wamemalziwa pesa ya kujikimu,iweje kwa halmashaur zingne k.v NJOMBE? au mambo ya 10%.
 
Mbona halmashauri zingne wamemalziwa pesa ya kujikimu,iweje kwa halmashaur zingne k.v NJOMBE? au mambo ya 10%.

watumishi wengi wa halmashauri zetu wanatafuna sana fedha za umma kama hapa nilipopangwa.
 
hapa nafundisha ki sela tu,nasubiri hela yangu&n payrow then ndo nchape kazi,otherwise afadhari ya jana.
 
Fundisha kadri unavyolipwa (FUKU) wala usiumize kichwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…