Pesa za mitaji hizo vijana kachukueni

mi nasubiri zile hamsini za baba mkubwa
 
Habari za vikundi hizo ni kucheleweshana tu!!
 
--->>LAITI KAMA SIO UJASIRI WA KUCHOKONOA TAARIFA MNGEPATA WAPI?/
•KWA NINI ENDAPO FEDHA HIZI ZIPO HAZITANGAZWI "HADHARANI"?
•LENGO LA USIRI HUU NI NINI?
•MKUU WA MKOA TANGAZENI / MAGUFULI ASIJE SIKIA AKACHUKIA BUREE?/
 
hizo taarifa ni nzuri ila zilikuwepo mda mrefu tu, mi nilishaenda pale temeke wilayani kuulizia!
tatizo kubwa ni kiwapata hao vijana wenye nia ya dhati kabisa na wasio waoga! hiyo ndo changamoto kuu kabisa! yaan akishindwa mmoja kurejesha lazima member wengine wamchangie au hata akifilisika utaratibu ni huohuo!
mimi nilihangaika kuwapata vijana nikaishia kupata mmoja tu! pia Kuna sharti gumu hapo mpaka vijana wote muwe ndani ya kata moja au mtaa, sasa na huo ni mtihani! pia mara nyingi inatakiwa muwe tiyari na biashara inayojiendesha au kila member awe na biashara hata kama ni kuuza mandazi tu! sasa kiukweli kuna mtihani kupata member wote watano wa kukidhi hivyo vigezo! binafsi nilifikia hatua nikashindwa Mkuu!
ila jitahidi sana pesa zinakuwepo ila vigezo ndo mtihani
 
Binafsi mm nimependa sana taarifa hii. Kweli watu tunahangaika sana na mitaji na jinsi ya kuipata. Asanye sana mkuu kwa uzi huu.
 
hili wazo ni zuri.mwaka jana tuliungana na vijana wenzangu tuliomaliza chuo.tukaandaa vyote hivyo lakini shuguli kukamilisha usajili,na kuja kupata hizo pesa.utazungushwa hadi ukate tamaaa
 
mkuu mi nadhan kupata members si tatizo kbs yaan from std one to university umesoma na watu huwez pata watu 4 ambao ni commited?, mfano kijijin kwetu digrii level tupo zaid ya 60 siwez pata hapo people 4 tutengeneze kundi? pia ni vizur mkafanya pamoja msigawane fedha
 
--->>LAITI KAMA SIO UJASIRI WA KUCHOKONOA TAARIFA MNGEPATA WAPI?/
•KWA NINI ENDAPO FEDHA HIZI ZIPO HAZITANGAZWI "HADHARANI"?
•LENGO LA USIRI HUU NI NINI?
•MKUU WA MKOA TANGAZENI / MAGUFULI ASIJE SIKIA AKACHUKIA BUREE?/
Mtumbua jibu nae jipu...
 
mkuu tatizo sio kupata watu,inatakiwa wawe ndani ya kata au mji mmoja na biashara zao ziwe maeneo hayo! kumbuka mnatakiwa kusajiliwa na Afisa Mtendaji! pia vijana wengi wanaogopa mikopo balaa nimelikutana hilo!
vijana wenye nia ya dhati nayo ni changamoto mkuu
 
Maboresho kidoho, "taarifa sio silaa ila kuifanyia kazi taarifa ndio silaa"

Information is not power, but it's application is"

Kwenda kwa DC ni mlolongo mrefu kiasi chakufanya mnyooke kwa DED tu moja kwa moja mtakutana na idara ya maendeleo ya jamii gapo ndipo taarifa zite za fedha hizo za maebdelei kwa vijaba na wabawake 5% each ya bajet ya fedha za ndani (own sources) Halmashauri au manispaa husika.

Watu wanavyoambiwa wacheu posho za mwenge ili kulekeza kwenye maendelea ni pamoja na hizo za vijana.

Siku hizi baadha ya sehemu wati wanapiga maji na karanga kama chakula kwenye vikao vyao ili kubana matumizi na kufanikisha miradi ya maendeleo..

Matunda ya yatavyunwa baadae.
 
Kuwapata pia inaweza isiwe shida..ila utakaowapata wako Committed kiasi gani halafu...hao maGRADUET sio watu wakuwaamini sababu walikuwa wanaishi maisha yakufikirika Nyakati za BOOM akipata hiyo HELA atataka akonge NYOYO kukumbuka enzi ya BOOM..halafu hata kama zitapatikana kwa MTU mwenye malengo makubwa hazitoshi....Mtaambiwa kwakuanzia mtapewa kila mwanakikundi Laki 1utatoka LINI?
 
Kwa watakaohitaji mchanganuo wa mahesabu wa mradi tuwasiliane kwa namba yoyote kati ya hizi 0658 977 330 au 0772 977 330
 
Buku hamsini nakutengenezea katiba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…