GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Na nijiavyo Mfanyabiashara na Tajiri mwenye Akili Timamu hupenda Kufadhili Vilabu ambavyo vinafanya vyema, vinatangazika vyema na viko katika Nafasi nzuri Kimsimamo?
Ukiona mahala popote pale Mfanyabiashara au Tajiri yoyote Yule anajihusisha na Kuidhamini Klabu ambayo haiko hata katika ama 10 Bora au 5 Bora ya Msimamo wa Ligi Kuu yoyote ile Duniani jua hana Akili sawa sawa halafu ni Mnafiki na ana lake jambo na huenda hata huo Udhamini wake katika hiyo Klabu kuna baya lililojificha ambalo hata Mamlaka za Uchaguzi zinapaswa Kuchunguza na Kumchunguza upesi sana.
Bora niwe Masikini Mwerevu kulikoni kuwa Tajiri Mpumbavu, Mshamba na Mnafiki katika Jamii niliyoko kwani huenda Uwerevu wangu ukawa Msaada mkubwa Kwake na akabadilika.