KERO Pesa za refund kwa wanafunzi vyuo vya SUA na TIA kizungumkuti

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
A

Anonymous

Guest
Nina wadogo zangu wawili mmoja kahitimu SUA, mwingine T.I.A, hawa wote walilipa ada mwanzo, baadae walifanikiwa kulipiwa ada na Board ya mikopo.

Hivyo walipaswa kurejeshewa zile Ada walizo lipa, kama ndugu tulifurahi wao kulipiwa ada, lakini kurejeshewa ada ni haki Yao, lakini imepita zaidi ya miezi mitano SUA na TIA hawaja Refund pesa za wanafunzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…