Pesa Zako Nyingi Kwenye Soko la Hisa Zipo Kwenye Hizi Herufi 3 Hapa Chini 👇

Pesa Zako Nyingi Kwenye Soko la Hisa Zipo Kwenye Hizi Herufi 3 Hapa Chini 👇

Joined
Jul 19, 2021
Posts
15
Reaction score
52
"F~B~I "

Lakini...
.
...Kabla ya kukwambia Maana ya hizo Herufi 3 nataka Kwanza nikwambie Kitu Hiki KIMOJA
.
"Njia Pekee ya Kuongeza Thamani ya Fedha Zako ni Kuwekeza"
.
(The ONLY Way To Grow Your Wealth Is To Invest)
.
Kivipi?
.
Nitakwambia Hapa Chini...
.
Miaka ya nyuma, Gwiji Wa Masuala ya uwekezaji Katika Hisa Dunia wallen Buffet aliwahi Kusema Maneno haya Yenye Busara:
.
"All Money Grows By Putting It to Work in the Right Places."
.
Yaani: Pesa Zote Huongezeka Kwa Kuwekezwa Sehemu Sahihi
.
Kwahiyo:
.
Huwezi Kuongeza Thamani ya Fedha Zako Bila Kuwekeza...
.
Na uwezo wako wa Kuweka PESA Sehemu Sahihi Ndio Utakaoamua Ni Kiasi Gani Cha Kibunda Utagenereta
Kwenye Uwekezaji Wako
.
Swali ni Je...niwekeze Wapi Kwenye soko la Hisa?
.
Well...
.
Kuna maeneo makuu MATATU unayoweza kuwekeza katika soko la hisa ili Kufaidika Zaidi na Uwekezaji wako

1). Kwenye Makampuni Yenye Historia Imara.
.
Haya ni makampuni ambayo yamedumu na yana rekodi nzuri ya mafanikio. Mara nyingi huwa na nafasi kubwa ya kuleta faida kwa muda mrefu.
.
2). Kwenye Makampuni Yanayokua
.
Haya ni makampuni ambayo bado yako kwenye hatua za kukua, lakini yanaweza kuleta faida kubwa kwa wawekezaji wake kutokana na ukuaji wa haraka.

3). Makampuni Yanayolipa Gawio

Haya ni makampuni ambayo yanawalipa wawekezaji gawio kutokana na faida inayotokana na uwekezaji wao.
.
NA:
.
.... Kwa Mjibu Wa Reports Nyingi za mwenendo Wa soko la Hisa Kuna sectors KUU TATU ambazo zimekuwa zikifanya vyema Kwenye soko la Hisa na zimebeba Pesa Nyingi Zaidi kama Utaamua Kuwekeza
.
Na Hapo ndipo tunaporudi Kwenye Zile Herufi 3 zetu Zinazoitwa.....
.
F~B~I
.
F ~B~I ni Kifupisho Cha Haya Maneno Hapa Chini.👇
.
F-Finance (Fedha)
.
B-Banking (benki)
.
I- Ivestment (Uwekezaji)
.
Umegundua Nini?
.
Ndio, Upo Sahihi… Sekta hizi tatu zina nafasi kubwa ya ukuaji na zinatoa fursa nzuri kwa wale wanaotaka kuwekeza na kupata faida katika soko la hisa.
.
Kwahiyo…
.
Chagua sekta yoyote kati ya hizi na anza kujifunza zaidi kuhusu makampuni yaliyopo ndani yake.
.
NA ...Kuwa na maarifa Sahihi kuhusiana na Uwekezaji Katika soko la Hisa ndio msingi wa mafanikio yako kama mwekezaji.
.
Na...
.
Ikiwa Upo interested na Unapenda Kuendelea kujifunza Zaidi Masuala Haya Mhimu ya Uwekezaji basi Gusa Link hapo chini 👇 Kuungana na Wenzako Uwekezaji Katika Hisa
.
Hasta la Vista!
.
Habakuki Hussen
.
+255676147714
 
Back
Top Bottom