ccm inatupatia hasara sana kwenye taifa letu kwa sababu bilion 2 ni pesa ambazo zingeweza saidia wananchi hata kwa kuwajengea zahanati au mashule lakini hizo pesa zinapewa mahakama kuu kuendeshea kesi ambazo wamezisababisha ccm kwa uchakachuaji wa kura za waliokuwa wameshinda