General Mangi
JF-Expert Member
- Dec 21, 2013
- 15,303
- 23,064
Mkuu hizo huduma unazoziita zero ni zipi? Nyoo……..sha manenoKatika Pub za maana Tz hii ni moja wapo kwa miundombinu....
Huduma ndo zeroo...
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndo nani rafiki?Rafiki cha pombe hajambo?[emoji4][emoji4][emoji4]
Hata mimi nimeipenda hiyo misamiati ya kizungu. Ila nimeelewa kabisa kabisa story yake. anasema kuna pub hapo Dodoma ni nzuri sana, aliona hata wabunge na viongozi wengine wa serikali wanakula hapo pamoja na madreva wa magari ya mizigo. Halafu kuna wadada walilewa wakaanza kupigana hadharani, polisi wakawasomba, mmoja akang'atwa mgongoni na polisi kwa kuwa alikuwa ana kaidi kwenda kituoni, ikabidi polisi atumie risonabo pawa.....
Kutoana vijasho nani anataka...!!??[emoji12] [emoji12]Nyie mlioelewa mbona na nyinyi hamchangii kwa kimombo!??[emoji33][emoji33][emoji33]
Sent using Jamii Forums mobile app
Tutamfikishia ujumbe chiefPale pametulia Sana pako safi ila kwenye huduma waboreshe kiukweli frank anaona na kusikia haya.. Kazi nzuri
Sent using Jamii Forums mobile app
NaUnGa mKoNo hOjA....[emoji30][emoji30][emoji30]Vitoto bumu limetoka vinasumbua, kweli mtoto halali na pesa
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hata mimi nimeipenda hiyo misamiati ya kizungu. Ila nimeelewa kabisa kabisa story yake. anasema kuna pub hapo Dodoma ni nzuri sana, aliona hata wabunge na viongozi wengine wa serikali wanakula hapo pamoja na madreva wa magari ya mizigo. Halafu kuna wadada walilewa wakaanza kupigana hadharani, polisi wakawasomba, mmoja akang'atwa mgongoni na polisi kwa kuwa alikuwa ana kaidi kwenda kituoni, ikabidi polisi atumie risonabo pawa.....
(Raha sana mtu ukiwa unajua ki english thread kama hii unaisoma tu na kuelewa haraka bila shida yoyote)
royal ipo kule kwa waziri mkuu kwa mbele kidogoIpo mitaa gani hapo dom?
ahahaahahahahahahahaha[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Weee babu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Mi najua we mgogo,Unanipa kabila gani hilo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Nipo bibi hapa Pestana....[emoji12] [emoji12]
Acha kila mtu afanye maisha yake..Vitoto bumu limetoka vinasumbua, kweli mtoto halali na pesa
Nipo bibi hapa Pestana....[emoji12] [emoji12]
Mimi ndio meneja wa hapa, upande wa misosi..tehteehh
Alafu mimi ndie yule masai tulie potezana na mdada wa humu jf..tehteehh