Karibu sana bibi, lakini usikuje na babu...[emoji23] [emoji23]
Karibu sana bibi, lakini usikuje na babu...[emoji23] [emoji23]
Hahahahahahahaha haki ya Mungu nyie watu wa Mungu mnajua kuchafua haliHata mimi nimeipenda hiyo misamiati ya kizungu. Ila nimeelewa kabisa kabisa story yake. anasema kuna pub hapo Dodoma ni nzuri sana, aliona hata wabunge na viongozi wengine wa serikali wanakula hapo pamoja na madreva wa magari ya mizigo. Halafu kuna wadada walilewa wakaanza kupigana hadharani, polisi wakawasomba, mmoja akang'atwa mgongoni na polisi kwa kuwa alikuwa ana kaidi kwenda kituoni, ikabidi polisi atumie risonabo pawa.....
(Raha sana mtu ukiwa unajua ki english thread kama hii unaisoma tu na kuelewa haraka bila shida yoyote)
hahahaah, nakumbuka ulishaweka uzi wa hapa wa mtu alikuletea piza, kumbe alikuwa na lake moyoni.....[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hebu niache huko unanitakia nn mm?
Mwisho wa mwezi nikupeleke Pizzeria ukale pizza .
Sent using Jamii Forums mobile app
😀😀😀😀😀😀😀😀Hahahahahahahaha haki ya Mungu nyie watu wa Mungu mnajua kuchafua hali
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivyo ndio vizuri bibi, haya karibu sana
Naomba smatfon yako nikuwekee[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
hahahaah, nakumbuka ulishaweka uzi wa hapa wa mtu alikuletea piza, kumbe alikuwa na lake moyoni.....
Unamuitia nini kaka yangu Mshana Jr? hahahahaahahahah.
hahahaah, nakumbuka ulishaweka uzi wa hapa wa mtu alikuletea piza, kumbe alikuwa na lake moyoni.....
Sawa babe...
Hivi Ilikuwa ni kweli au ulikuwa unatania maana na wewe Demiss una story kweli.hahahahahHuwa siisahau pizza ktk maisha yangu hongera kwa kuwa na kumbukumbu nzuri[emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivyo ndio vizuri bibi, haya karibu sana
Huwa siisahau pizza ktk maisha yangu hongera kwa kuwa na kumbukumbu nzuri[emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Namuita akuje aone vile anavyo dhalilishwa huku...tehteehh [emoji23] [emoji23]Unamuitia nini kaka yangu Mshana Jr? hahahahaahahahah.
mxweeeew hahahahaahahahahNamuita akuje aone vile anavyo dhalilishwa huku...tehteehh [emoji23] [emoji23]
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Hivi Ilikuwa ni kweli au ulikuwa unatania maana na wewe Demiss una story kweli.hahahahah
Mi nimeelewa kuwa Malcom Lumumba amehamia Pestana pub Dodoma. Sijui litakuwa eneo jipya hili huko Dom!![emoji85][emoji85][emoji85][emoji85][emoji85][emoji85] mwenyewe nimebaki mdomo wazi zaidi ya Ushimen!
Tumsubiri tu mkuda mwenyewe Malcom aje atutafsirie!
Sent using Jamii Forums mobile app
nimefanya utafiti kidogo. nimegundua watumiaji wengi wa jf, wale maarufu maarufu wanaishi dodoma. kama vipi tupange siku tukutane pale pestana au pizeria katika 'Dodoma jf night party"
Sent using Jamii Forums mobile app
Ile ambayo uliweka thread hapa JF kuwa alikupa piza, halafu kumbe ndio alikuwa anakuarifu kuwa mmefika mwisho wa mahusiano yenu...Pizza ina story mbili katika maisha yangu sasa sijajua ni ipi wewe unayeifahamu
Sent using Jamii Forums mobile app