Pestana Pub- Dodoma

Kweli mkaka ana roho mbaya yule kwa sababu nilikuwa nambania chiuuu mm kipindi hicho nilikuwa naumwa nitampaje sasa chiuu akaamua kuniacha hivyo aisee haijawahi nitokea kwenye maisha maumivu makali sana nilipata ila namshukuru mungu nimeshasahau.

Kila nikiona pizza huwa natiririkwa machozi kooo linakaba hasira mkaka yule na roho yake mbayaaa hakika sitasahau
Ile ambayo uliweka thread hapa JF kuwa alikupa piza, halafu kumbe ndio alikuwa anakuarifu kuwa mmefika mwisho wa mahusiano yenu...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
It is a good place to be, as it is in its early stage, I hope the Management will take into consideration your important observations.
 
Lakini mimi nshaenda kama mara 2 hivi, nliagiza Chakula ndani ya dakika 20 nliletewa chakula, na nlihudumiwa na mdada mmoja mstaarabu sana
Karibu tena mkuu, tunafurahia sana tunapo pata positive feedback kama hizi....[emoji123]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…