Pete Hegseth, Waziri wa Ulinzi mteule Marekani asema anaunga mkono Israel kuwaangamiza na kuwaua kila mwanachama wa Hamas aliyesalia hai

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2020
Posts
3,585
Reaction score
8,106
Wadau hamjamboni nyote?

Rais mteule wa Marekani, Donald Trump, amemteua Pete Hegseth kama waziri wa ulinzi, uteuzi ambao umekumbwa na utata.

Katika kikao cha kuthibitishwa mbele ya Seneti ya Marekani, Hegseth alisisitiza kuwa anaunga mkono hatua ya Israel kuangamiza wanachama wote wa kundi la Hamas.

Hata hivyo, malengo ya sasa ya vita vya Israel hayajumuishi kuangamiza kila mwanachama wa Hamas, kwani viongozi wa Israeli, wakiwemo maafisa wa ngazi ya juu, wamesema kufanya hivyo kutaifanya Israel kuingia katika mzozo usioisha huko Gaza.

Aidha, Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani, Antony Blinken, alibainisha kuwa Hamas imeendelea kusajili wapiganaji wapya kufidia wale waliopoteza.

=============================================================

US President-elect Donald Trump’s contentious nominee for defense secretary, Pete Hegseth, was grilled Tuesday by lawmakers about past controversies he has been embroiled in, while expessing support for Israel killing all remaining members of Palestinian terror group Hamas in the war in Gaza.

Speaking at his confirmation hearing before the US Senate’s Armed Services Committee, Hegseth said: “I support Israel destroying and killing every last member of Hamas.”

Notably, Israel’s current war aims do not extend to killing every last member of Hamas, and Israeli officials have told The Times of Israel that even Prime Minister Benjamin Netanyahu has acknowledged as much. Doing so would have Israel bogged down in Gaza indefinitely, given that the terror group is constantly recruiting new fighters.

US Secretary of State Antony Blinken said Tuesday that Hamas has recruited as many fighters as it has lost during the war.

“I’m a Christian and I robustly support the State of Israel and its existential defense,” Hegseth told the Congressional committee.

Like members of many previous administrations, Hegseth said his top priority would be shifting the US military priorities away from the Middle East and toward China.
 
Jamaa ameongea kama mlevi, Afghanistan wamekaa almost 20yrs lakini wameondoka na Taliban wamerudi wanaendelea kuendesha maisha yao. Sasa wamefaidika na kipi?
Kwamba wamalize migogoro ya mashariki ya kati wahamie China.... China wataiweza?
 
Wanataka wahamie China😀 ujue marekani kuna wagonjwa wa akili wengi sana
 
Israel wangekuwa wanawaua Hamas na kuweka ushahidi kama mwanzoni wala isingekuwa shida sana.

Lakini sasa hivi wanaua hadi vichanga vya siku 2, hii sio vita tena bali mauaji ya halaiki.
 
Mwisho nayeye ni kuangamia kama wenzie kifo kweli mkomboozi kingekuwa cha mtu mnyonge tu awajamaaa wangejitapa sana mambo ya mungu nayeye atazikwa tu jeuri yote itakwisha wajuzi wanasema ktk hii Dunia wewe tenda wema tu ndio utakumbukwa vizuli. M Palestina atamwacha palepale ulimwengu umebadilika kizaz kipya akitaki maguvu kuuwa watun ovyo , ataibika tu nakizaz chasasa,
 
Jamaa ameongea kama mlevi, Afghanistan wamekaa almost 20yrs lakini wameondoka na Taliban wamerudi wanaendelea kuendesha maisha yao. Sasa wamefaidika na kipi?
Kwamba wamalize migogoro ya mashariki ya kati wahamie China.... China wataiweza?
Tofautisha ulinzi wa amani na kipigo Cha Moja kwamkja kinachotolewa na Israel in Gaza
 
Jamaa ameongea kama mlevi, Afghanistan wamekaa almost 20yrs lakini wameondoka na Taliban wamerudi wanaendelea kuendesha maisha yao. Sasa wamefaidika na kipi?
Kwamba wamalize migogoro ya mashariki ya kati wahamie China.... China wataiweza?
Huwawei ilikufa chini ya Trump. Tutegemeee mengi kwa muhuni wetu Trump kwa kipindi hiki cha miaka 4 mingine
 
Jamaa ameongea kama mlevi, Afghanistan wamekaa almost 20yrs lakini wameondoka na Taliban wamerudi wanaendelea kuendesha maisha yao. Sasa wamefaidika na kipi?
Kwamba wamalize migogoro ya mashariki ya kati wahamie China.... China wataiweza?
China itapigana na Taiwan
 
Wamarekani akili zao zimejifunga, wanajua mpaka sasa dunia ni wao tu!
Hawa jamaa wengi wao tena wengi sana ni wajinga kweli kweli mainstream media zimeharibu bongo zao kwa propaganda za kila siku yaani wao wanajiona ni kama vile U.S ndio kama Jua wengine wote mnamzunguka yeye.

Maoni yao kwenye zile platforms kubwa huwa yananifurahisha sana huwa wanaandika ujinga na hata elimu ya kuitambua dunia nje ya American cycle hawana wengi wao wamejaza upumbavu haishangazi hata wafuasi wao wengi wao ni wajinga wajinga hivyo hivyo.

Haishangazi Trump kupata wafuasi wengi kwa sababu wamarekani wengi wajinga wajinga.
 
Jamaa ameongea kama mlevi, Afghanistan wamekaa almost 20yrs lakini wameondoka na Taliban wamerudi wanaendelea kuendesha maisha yao. Sasa wamefaidika na kipi?
Kwamba wamalize migogoro ya mashariki ya kati wahamie China.... China wataiweza?
China hajawahi kufikiria vita Zaid ya kukuza uchumi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…