Muda sio mwingi mbeleni.Lini ?
Na ni mlevi balaa😀Jamaa ameongea kama mlevi, Afghanistan wamekaa almost 20yrs lakini wameondoka na Taliban wamerudi wanaendelea kuendesha maisha yao. Sasa wamefaidika na kipi?
Kwamba wamalize migogoro ya mashariki ya kati wahamie China.... China wataiweza?
Mkuu umenifanya ni google nimeona kweli jamaa ni alcoholic, na mimi niliona tu yale maneno ni ya mlevi, mtu mwenye akili timamu huwezi ongea upuuzi kama ule.Na ni mlevi balaa😀
Kwani kuna 'superpower' mwingine aliyeibuka ?Wamarekani akili zao zimejifunga, wanajua mpaka sasa dunia ni wao tu!
Hivi unaelewa ulichoandika?Huwawei ilikufa chini ya Trump. Tutegemeee mengi kwa muhuni wetu Trump kwa kipindi hiki cha miaka 4 mingine
🙏🙏🙏🙏👏👏👏👏👏🙏🙏🙏🙏Wadau hamjamboni nyote?
Rais mteule wa Marekani, Donald Trump, amemteua Pete Hegseth kama waziri wa ulinzi, uteuzi ambao umekumbwa na utata.
Katika kikao cha kuthibitishwa mbele ya Seneti ya Marekani, Hegseth alisisitiza kuwa anaunga mkono hatua ya Israel kuangamiza wanachama wote wa kundi la Hamas.
Hata hivyo, malengo ya sasa ya vita vya Israel hayajumuishi kuangamiza kila mwanachama wa Hamas, kwani viongozi wa Israeli, wakiwemo maafisa wa ngazi ya juu, wamesema kufanya hivyo kutaifanya Israel kuingia katika mzozo usioisha huko Gaza.
Aidha, Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani, Antony Blinken, alibainisha kuwa Hamas imeendelea kusajili wapiganaji wapya kufidia wale waliopoteza.
View attachment 3202372
=============================================================
US President-elect Donald Trump’s contentious nominee for defense secretary, Pete Hegseth, was grilled Tuesday by lawmakers about past controversies he has been embroiled in, while expessing support for Israel killing all remaining members of Palestinian terror group Hamas in the war in Gaza.
Speaking at his confirmation hearing before the US Senate’s Armed Services Committee, Hegseth said: “I support Israel destroying and killing every last member of Hamas.”
Notably, Israel’s current war aims do not extend to killing every last member of Hamas, and Israeli officials have told The Times of Israel that even Prime Minister Benjamin Netanyahu has acknowledged as much. Doing so would have Israel bogged down in Gaza indefinitely, given that the terror group is constantly recruiting new fighters.
US Secretary of State Antony Blinken said Tuesday that Hamas has recruited as many fighters as it has lost during the war.
“I’m a Christian and I robustly support the State of Israel and its existential defense,” Hegseth told the Congressional committee.
Like members of many previous administrations, Hegseth said his top priority would be shifting the US military priorities away from the Middle East and toward China.
Ila hili suala linafikirisha sana, ina maana hao wafungwa katika kipindi cha muda wote walikuwa pale pale Gaza?Maneno mengi huwa ni kama ule upepo usio dhuru 😄 🤣 mwenzenu Shetanyahu kakubali masharti ya Hamas we baki na huyo kichaa wako kasema kasema.
⭕️ Hii hapa ni rasimu ya makubaliano ya kusitisha mapigano huko Gaza kulingana na vyombo mbalimbali vya habari:
Awamu ya 1 (siku 42):
1. Kusimamishwa kwa muda kwa shughuli za kijeshi na kujiondoa kwa Israeli kutoka kwa maeneo yote yenye wakazi.
2. Kusimamishwa kwa muda kwa shughuli za hewa kwa saa kumi kila siku.
3. Kurudishwa kwa watu waliohamishwa kwenye maeneo yao ya makazi.
• Siku ya 7: Waisraeli wanajiondoa kutoka Mtaa wa Al-Rasheed hadi Mtaa wa Salah Al-Din, kubomolewa kwa mitambo ya Israeli na kuwarudisha watu waliohamishwa makazi yao.
• Siku ya 28: Waisraeli wajiondoe kutoka Gaza ya kati, kuruhusu watu kusafiri bila malipo.
• Uwasilishaji wa vifaa vya msaada, mafuta na kuondoa vifusi, sambamba na kufunguliwa kwa hospitali na mikate kote Gaza.
* 4. Kubadilishana mateka:
Awamu ya 1: Hamas itawaachilia mateka 33, huku Israel ikiachilia wanawake na watoto wa Kipalestina 30 kwa kila mateka aliyeachiliwa huru, ili wazuiliwe.
• Hamas kisha itawaachilia wanajeshi wote wa kike wa Israel walio hai, huku Israel ikiwaachilia wafungwa 50 wa Kipalestina kwa kila mmoja.
5. Ratiba ya kubadilishana wafungwa:
• Siku ya 1: Hamas inawaachilia mateka watatu wa raia.
• Siku ya 7: Hamas huwaachilia mateka wanne raia, wakifuatiwa na mateka watatu wa Israeli kila wiki.
• Wiki ya 6: Hamas inawaachilia wafungwa wote waliosalia wa Israel walio chini ya awamu hii kwa kubadilishana na wafungwa wa Kipalestina kulingana na orodha iliyoandaliwa na Hamas.
• Israel itawaachilia wafungwa 47 waliozuiliwa baada ya makubaliano ya Shalit na raia wote walio chini ya umri wa miaka 19 waliokamatwa huko Gaza baada ya Oktoba 7.
• Wafungwa wa Kipalestina wataachiliwa bila masharti, na hakuna kukamatwa tena siku zijazo.
6. Awamu ya kwanza ya kubadilishana mateka ni tofauti na awamu ya pili.
7. Mazungumzo ya awamu ya pili yataanza kabla ya Siku ya 16.
8. Umoja wa Mataifa utaendelea kutoa misaada.
9. Miundombinu
ukarabati utaanza.
10. Angalau nyumba 60,000 na mahema 200,000 yatatolewa kwa wale waliopoteza makazi yao.
11. Kuongeza idadi ya watu waliojeruhiwa wanaosafirishwa kwa matibabu kwa njia ya kivuko cha Rafah na kuruhusu harakati za biashara.
12. Ujenzi mpya na fidia kwa raia utaanza chini ya usimamizi wa mashirika na nchi, zikiwemo Misri na Qatar.
13. Katika awamu hii, uondoaji na usitishaji wa shughuli za kijeshi utaendelea, pamoja na mazungumzo ya awamu ya pili.
14. Usitishaji wa kudumu wa mapigano utatangazwa, na Israel itajiondoa kikamilifu kutoka Gaza.
Awamu ya 2 (siku 42):
15. Kubadilishana miili baada ya kuwatambua marehemu.
16. Kujengwa upya kwa Gaza (miaka 3-5) chini ya usimamizi wa kimataifa na Umoja wa Mataifa, ikiwa ni pamoja na Qatar na Misri.
17. Ufunguzi wa vivuko kwa watu binafsi na bidhaa.
Wadhamini wa makubaliano hayo ni Qatar, Misri na Marekani.
Yeah, China.Kwani kuna 'superpower' mwingine aliyeibuka ?
China ni regional power tu bado hajawa superpower...Yeah, China.
Kwenye bipolar power structure China na US wote ni superpower sasa huku ikitizamiwa US kupitwa muda wowote, wengine wakisema imepitwa..
Leo Blinken kakiri Hamasi hakuna anaye weza kumshinda vita, afu vijana wa Heleluya wanaimba kwaya eti Israel kashinda vita, sikatai kashinda kwa kuvunja majumba na kauwa watoto na wanawake tu, sio wanamgambo wa Hamasi. Israel lazima atumie siasa ili kuishi salama na Hamasi sio vita.Ila hili suala linafikirisha sana, ina maana hao wafungwa katika kipindi cha muda wote walikuwa pale pale Gaza?
IDF na intel yake,technology, satellite na jeshi la ardhi na anga ,,msaada wa EU na US wa silaha na fedha na bado wakashindwa kufahamu walipo? aa walifahamu lakini wakashindwa kufika sababu ya mashambulizi?
Hao mateka kwa jinsi Gaza ilivyo ndogo, Gaza ni ndogo sana, Hamas waliwaficha wapi?
Hamas ni makomando na wana uwezo wa kupambana kuliko IDF, naweza kusema hivyo...
Tatizo bado mnazungumzia unipolarity jambo ambalo kwa sasa haliwezekani na US inajitahidi sana kurudi huko lakini haiwezekani..China ni regional power tu bado hajawa superpower...
Ni ukweli mchungu..Leo Blinken kakiri Hamasi hakuna anaye weza kumshinda vita, afu vijana wa Heleluya wanaimba kwaya eti Israel kashinda vita, sikatai kashinda kwa kuvunja majumba na kauwa watoto na wanawake tu, sio wanamgambo wa Hamasi. Israel lazima atumie siasa ili kuishi salama na Hamasi sio vita.
View: https://youtu.be/BJZXp58djQs?si=bnegXYn1Inbhc3Jl
Regional power si ndio nipe tafsiri ya Regional powerChina ni regional power tu bado hajawa superpower...
Nchi kuitwa "superpower" ni kutokana na uwezo wake mkubwa wa kiuchumi, kijeshi, kisiasa, na kiutamaduni duniani. Vigezo muhimu vinavyozingatiwa ni:Bado sijaelewa lakini nchi kuwa superpower unaangalia vigezo gani...
China ni 'emerging superpower ' bado hajawa superpower kamiliRegional power si ndio nipe tafsiri ya Regional power
Taliban alifanya Mikataba na USA mzeeJamaa ameongea kama mlevi, Afghanistan wamekaa almost 20yrs lakini wameondoka na Taliban wamerudi wanaendelea kuendesha maisha yao. Sasa wamefaidika na kipi?
Kwamba wamalize migogoro ya mashariki ya kati wahamie China.... China wataiweza?
Kiongozi katika hayo yote uliyotaja, China kwenye utamaduni tu ndipo anatolewa kwingine kooote China yupo vizuri...Nchi kuitwa "superpower" ni kutokana na uwezo wake mkubwa wa kiuchumi, kijeshi, kisiasa, na kiutamaduni duniani. Vigezo muhimu vinavyozingatiwa ni:
1. Nguvu ya Kijeshi:
- Uwepo wa jeshi lenye nguvu, teknolojia ya hali ya juu, na uwezo wa kuendesha operesheni za kijeshi duniani kote.
- Uwepo wa silaha za nyuklia au uwezo wa kuzimiliki.
- Uwezo wa kujilinda na kushiriki katika masuala ya kimataifa ya kiusalama.
2. Nguvu ya Kiuchumi:
- Pato la Taifa (GDP) kubwa na soko thabiti la kifedha.
- Ushawishi wa kiuchumi duniani, ikiwa ni pamoja na uwezo wa kudhibiti masoko ya kimataifa na biashara ya kimataifa.
- Maendeleo ya kiteknolojia na uzalishaji wa viwanda vinavyoongoza kimataifa.
3. Nguvu ya Kisiasa:
- Ushawishi mkubwa katika taasisi za kimataifa kama Umoja wa Mataifa, IMF, na WTO.
- Uwezo wa kushawishi sera za kimataifa na kushiriki katika kutatua migogoro ya kidunia.
4. Nguvu ya Kiutamaduni:
- Uenezaji wa lugha, tamaduni, na vyombo vya habari vinavyoathiri dunia nzima.
- Ushawishi wa maadili, mitindo, burudani, na elimu katika mataifa mengine.
5. Uwezo wa Kiustadi na Kiteknolojia:
- Uwezo wa kuendeleza na kutumia teknolojia za hali ya juu.
- Nchi inayoongoza katika uvumbuzi wa kisayansi na utafiti.
Mfano wa nchi zinazotambulika kama "superpower" ni Marekani, huku China na Urusi zikionekana kuimarisha nafasi zao katika kuwania hadhi hiyo.
Chanzo : (Chatgpt)