Pete na uaminifu๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Kwa nini watu fulani wanaamini kwamba kuvaa pete kwenye kidole cha pete itawafanya wapenzi wao wasiwe waaminifu?
Hiyo elimu ni maagano kati yenu.
Sema imeboreshwa ndio unaona pete.kwa waislamu kwenye ndoa kwa nini unashikishwa mkono .Na kupigiwa dua
 
Aaaaaa huko mie sijui sijawhi shuhudia ndoa ya kiislam labda nipe Moja mbili๐Ÿ˜๐Ÿ˜
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ