Pete ya ndoa kuvaliwa mkono wa kulia!

mkonowapaka

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2010
Posts
1,492
Reaction score
768
Habari zenu tena hapa.....

Nna jambo moja huwa silielewi..ni wakati gani pete ya ndoa na ya uchumba (kama alibahatika kuchumbiwa) huvaliwa mkono wa kulia maana juzi naona mtu katinga mkono wa kulia ya uchumba hadi ya ndoa ckuelewa....au ndo single ladies put a ring on it!!

Nielewesheni kijana maana npo kwenye mchakato wa kumsuprise mahabuba dec ncje nikaumbuka na right hand !!inahusu!!

Ni hayo kwa leo..weekend njema
 

We mvishe mkono wowote ule ambao yeye atapenda, hayo mambo ya mkono wa kushoto sijui kulia yamepitwa na wakati. Ukija nchi za ulaya huku zingine utaratibu ni kushoto (kama tz) zingine utaratibu ni kulia. Mi naona cha msingi uwe umevaa hiyo pete basa (kama unaihitaji) otherwise, hata hiyo pete yenyewe haina umuhimu kiviiiile!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…