Pete ya Ndoa na kidole maalum

Like hell hatuipendi na binafsi nimechoose kutoiamini my dearest but not so humble Eiyer!

Sweetie,u can choot whatever u want but truth stands!
 
Last edited by a moderator:

Ni utamaduni wa kigeni ambao ni katika kuongeza gharama za kufunga ndoa tu kwa baadhi ya watu
 

Rings are placed on the fourth finger on the left
hand, because Ancient Egyptians believed that
it contained a vein that lead to the heart ( vena
amoris).

Source wikipedia search for engagement ring
fingure....
 
That Ring history . . . . . .!!

So far l have heard 3 ring histories! I guess l will have to choose one to believe just like u have chose the one you want!
 
Kwanin tukunje vidole vyakati, jibu kwanza hili.

Nilitaka kuuliza the same question aisee..
Manake hapo ndipo penye logic..otherwise ni mchezo tu wa kuigiza tu..
Sina pete na ndoa yangu ninayo na inadumu..
 
So far l have heard 3 ring histories! I guess l will have to choose one to believe just like u have chose the one you want!

Niliyokuambia ni zaidi ya hadith,is a fact,why you think believing is important?Instead of believing u have to know,kuamini ni kuamini bila ushahidi,yaani blindly so kuamini sio ishu unatakiwa ujue,kujua ni mpaka uwe na ushahidi,je unao?Mi ninao!
 
hata nikikunja vidole vidogo in inside out, bado ni ngumu kuachiana...kwa hiyo, kidole ni kidole, chochote can serve the purpose.

HUJAELEWA...rudia kusoma maelezo
 

like nimekupa kwasababu umejiahami mapema sana.

sasa ngoja nikuulize hivi wale watawa wanaoveshwa pete je nao ni wapagani kwa theory yako?
 
pamoia na maelezo na utetezi wa hii kitu binasi sioni weledi wa kuchagua mkono na kidole. tunaaminishwa NDOA NI BARAKA YA MUNGU ALOKIFUNGA MUNGU HAKUNA WA KUKITENGANISHA. Nakubaliana mia kwa mia juu ya hoja hiyo.kinachonitanza ni KWANINI IWE MKONO WA KUSHOTO UPEWE HADHI HIYO???KWANI KAZI ZIFANYWAZO NA SHOTO HAMZIJUI HUSUSANI CHOONI?????
 

Mikono ya kushoto ya walio wengi haina nguvu sana na haifanyi kazi sana; hivyo ni salama kwa pete ikivaliwa mkono wa kushoto kuliko wa kulia. Mawazo yangu lakini!
 
Ndoa na zidumu. Wazazi, ndugu na watoto ni sehemu tu ya ndoa!!! Je wengii tunalijua hili? Kama tunajijua mashemeji, mawifi na wazazi mnatoka wapi kungilia nyumba za watu!!??
 
Nimejifunza kitu hapa.

Ila kuna watu wa nchi za magharibi nimeshakutana nao wanavaa mkono wa kulia. Nilitamani kuwauliza lakini hawakuwa wa level yangu...tulikuwa na power distance. Ila nilikuwa najua wako kwenye ndoa...ila sijuhi kwa nini mkono wa kulia.

Ngoja nijaribu ku google. Lol.

Yani google ametusaidia ...majibu yote karibia yapo google.
 
Okay nimeshapata jibu (google. Lol.)

Kuna baadhi ya nchi wanavaa pete mkono wa kulia (kama Germany na nyingine) , na wengine mkono wa kushoto (kama UK na nyingine). Hivyo ntaacha kuwashangaa wanaovaa right hand.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…