Mkono wa kulia haupatani na uwongo, kwani ndoa nyingi zimetawaliwa na uongo mwingi, hivyo unatumika mkono wa kushoto kwa sababu huo hauna tatizo na uwongo..............
Mkono wa kulia haupatani na uwongo, kwani ndoa nyingi zimetawaliwa na uongo mwingi, hivyo unatumika mkono wa kushoto kwa sababu huo hauna tatizo na uwongo..............
Hii inakaribia kufanana na ukweli...Mkono wa kulia haupatani na uwongo, kwani ndoa nyingi zimetawaliwa na uongo mwingi, hivyo unatumika mkono wa kushoto kwa sababu huo hauna tatizo na uwongo..............
Kabisa kabisa ndo nyingi sana zimetawaliwa na uwongo, lakini usisahau kitu nani muongo pale, ni mkono au mdomo.Mkono wa kulia haupatani na uwongo, kwani ndoa nyingi zimetawaliwa na uongo mwingi, hivyo unatumika mkono wa kushoto kwa sababu huo hauna tatizo na uwongo..............
Hivi kwa nini pete ya ndoa inavaliwa mkono wa kushoto, mkono wa kulia inakuwaje?
Nafikiri ni kwa sababu mkno wa kulia unatumika kwa shughuli nyingi ikiwemo kulia chakula, kusalimiana, kusafishia vitu mbali mbali, nk hivyo pete ingevaliwa kulia ingeleta a lot of inconvinience! Imagine umeshika nyundo unapigilia bati au unanyoosha bati au unapasua mawe na mkono huo huo umevaaa pete, ni ngumu kidogo!
Au unapikicha vipikichwavyo viliokua laaiiyni , pete disturbance !
1. Inasemekana kati ya vidole vyote kumi vya mikono ya mwanadamu (normal person), kuna mshipa mmoja tu wa damu uliotoka moja kwa moja kwenye kidole hicho cha mkono wa kushoto hadi kwenye moyo (Vidole vingine vina mishipa lakini haijaenda moja kwa moja kwenye moyo bali imetengeneza matawi wa arteri kutoka mahali fulani).
Na kama tunavyojua kuwa moyo ndio kama ishara ya feeling za upendo, wayahudi walivalishana pete katika kidole hicho kama ishara ya upendo. Na hii ikaendelea hadi leo japo wengi hawajui maana yake na ilianzaje.