Pete ya uchumba ipoje?

Hongera sana,ila jitahidi usitumie gharama sana mwenye masuala hayo,utaja umia baadae kama huna uvumilivu.Wanawake hatukumbukagi gharama mlizotumia tukiolewa.(Just keep in your mind what i tell u,pleasee)
Kama hatuwezi kukujengea Mnara basi hata upelekwe Ikulu kula chakula cha mchana na Makamu wa Rais.
 
Kuna somebody kanunuliwa 11 pro max and I know she’s cheating dunia hii

Sometimes unafanya kutokana na upendo kwake na Mungu anakubariki, mimi December nilimnunulia mama kijaaa wangu iphone xs max brand new sealed, January nikapewa 12pro max full box. Ukitoa Mungu anabariki
 
Labda tujiulize,hii mila/utamaduni wa kuvalishana Pete ni utamaduni wetu au tumeiga tuu?
Je Babu zetu na Bibi zetu walivalishana pete? kama hawakuvalishana iliathiri vipi ndoa yao na maisha yao kwa ujumla?

Je nini tofauti ya ndoa ya kuvalishana pete na ndoa ambayo hawakuvalishana pete kimaisha ya uhalisia ndani ya Nyumba yao?

Kuna faida yeyote au hasara yeyote kufanya hivyo au kutokufanya hivyo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…