tunalazimika
JF-Expert Member
- Nov 5, 2010
- 1,098
- 259
polen kwa ambayo yamekuwa yakijiri nchini kwetu tangu uteuzi wa wagombea, kuanza kwa kampen, uchaguzi, matokeo na mpaka tarehe 5january_Arusha. Kuna jambo limekuwa likinitatiza kila siku juu ya masuala ya mahusiano, jambo lenyewe ni pete ya uchumba_kwanini avae mdada pekee? Binafsi kitendo hiki naona kama kinambana mdada na kumuacha mvulana huru na kuendelea kuvunja amri ya thita kama hana akili nzuri wakati mdada akiendelea kuogopwa kwsbb ya pete yake. Nauliza kwann wote wasivae pete hizo?

wanaume wanavaa shanga kiunoni
nawasilisha.
heee madogo!!
makubwa yanabebeka!!!!
Kama gunia la misumari
heee madogo!!
nadhani ni mtazamo tu na wengi kuIga vitu bila kujua maana halisi zamani zile wazazi hawakuvaa pete hizo lkn waliHeshimika sana mm mchumba wangu atavaa pete ya uchumba maana kama ni simbo ya kujulisha mm ni mchumba wa mtu so na yy avaa kuonyesha ni mchumba wa mtu but itakuwa tofauti na yangu!
wanaume wanavaa shanga kiunoni
nawasilisha.
mbona ujanivalisha
wanaume wanavaa shanga kiunoni
nawasilisha.
apana ..sikumvalisha...ALIVAA mwenyewe!!!ulipomvalisha unapata raha gani ebu tujuze
Kama unamvalishaga ;mwenzetu' basi usidhani ndo kila mwanaume anavaaga!
Fidel we umevaa ngapi