Usher-smith MD
JF-Expert Member
- Jul 7, 2015
- 9,558
- 12,335
Mungu sio Nape Nauye,anampa amtakaye
Nilisikia wanasema ana kiharufu fulani hivi mashineni ambacho kinakinahisha. Kuna uzi huo humu jamvini, kama anayo hiyo link aiweke.Wolper anaishiaga kuwatambulisha tu wanaume zake, wanaume wanaingia mitini asipoangalia mcongo nae ataingia mitini sijui kwanini hawaoani
Yani hakawii kuachwa pole zakeNilisikia wanasema ana kiharufu fulani hivi mashineni ambacho kinakinahisha. Kuna uzi huo humu jamvini, kama anayo hiyo link aiweke.
Yetu macho ngoja tusubiri