Pete ya uchumba ya Jacklyn Wolper

Huo ni ujumbe tu kama zilivyo jumbe zingine. Tena siku hizi kafululiza kuandika magazeti mazuri sana.
Hayo mengine ya kuhusianisha vitu anavyopost na life lake.....ni nyie tu watu ndo mnayakuza!
 
nadhani kuna kitu inabidi ajifunze kwa Wastara,
Wastara huwa hatuoni pete lkn huwa tunaskia kaolewa au kaachika,namkubali sana wastara
Hapo inawezekana formation wana tofautiana mwingine total football wengine 442 hawawezi kuwa sawa.
 
nadhani kuna kitu inabidi ajifunze kwa Wastara,
Wastara huwa hatuoni pete lkn huwa tunaskia kaolewa au kaachika,namkubali sana wastara
unamkubali kwa kutoona pete ama kuolewa na kuachika?
 
heri ungekaa kimya akuoe kwanza;
siku wakijuwa tabia zenu lazima wawakimbie tu;
 
hihihiii kakolea sio? na wanapimaga kweli au hawa madogo wanaamua kujitroa akili wanawake wenyewe wanatiana hadi na mashetani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…