Raia Fulani
JF-Expert Member
- Mar 12, 2009
- 11,478
- 3,659
Mi nadhani imefika wakati sasa na mabinti kuwavisha watarajiwa wao pete za uchumba kama wao wavishwavyo. Hii pia itasaidia kumwepusha mchumba mume na mabinti. Tumeona kichen pati za kiume, mwanaume kuvishwa pete ya uchumba itashindikana? Em wadada mtoe mawazo katika hili maana linawahusu direct. Mi nitafurahi nikivishwa na atakayekuwa mtarajiwa wangu
Mziwanda umepinda, hii haijakaa vyema hata kidogo. Unajua wanawake tumewaachia wanaume wawe vichwa vya familia na kama ni kichwa cha familia wewe ndio unatakiwa kuwa msemaji mkuu, kingine nilichokuwa nasemea ni kwamba wanaweke c ambao huwa tuna-propose inamaana nikikuvisha pete halafu useme haujawa tayari inakuwaje? Nyie wanaume huwa mkiulizwa jamani tutaona lini unaona ni kero kubwa haya sasa aseme anaku-engage utasubiri yeye ndo apropose na tarehe ya harusi. Kwa maana hiyo utakuwa umempa mamlaka mkeo na hivyo hata mkioana yeye ndio atabaki kuwa kichwa cha familia.
Swali kwako wewe mziwanda umeshamwambia huyo msichana wako kwamba unasubiri yeye akiwa tayari akuvishe pete?

Kazi ipo,....Mziwanda umepinda, hii haijakaa vyema hata kidogo. Unajua wanawake tumewaachia wanaume wawe vichwa vya familia na kama ni kichwa cha familia wewe ndio unatakiwa kuwa msemaji mkuu, kingine nilichokuwa nasemea ni kwamba wanaweke c ambao huwa tuna-propose inamaana nikikuvisha pete halafu useme haujawa tayari inakuwaje? Nyie wanaume huwa mkiulizwa jamani tutaona lini unaona ni kero kubwa haya sasa aseme anaku-engage utasubiri yeye ndo apropose na tarehe ya harusi. Kwa maana hiyo utakuwa umempa mamlaka mkeo na hivyo hata mkioana yeye ndio atabaki kuwa kichwa cha familia.
Swali kwako wewe mziwanda umeshamwambia huyo msichana wako kwamba unasubiri yeye akiwa tayari akuvishe pete?
Kama ni hivyo da safina, then hata pete ya ndoa msiwavishe wanaume.
Mi nadhani imefika wakati sasa na mabinti kuwavisha watarajiwa wao pete za uchumba kama wao wavishwavyo. Hii pia itasaidia kumwepusha mchumba mume na mabinti. Tumeona kichen pati za kiume, mwanaume kuvishwa pete ya uchumba itashindikana? Em wadada mtoe mawazo katika hili maana linawahusu direct. Mi nitafurahi nikivishwa na atakayekuwa mtarajiwa wangu
Nadhani pete za uchumba zisiwepo kabisa hata kwa wanawake, kwani hazina maana tena baada ya ndoa. Zinaongeza tu gharama kwa mwanaume.Mi nadhani imefika wakati sasa na mabinti kuwavisha watarajiwa wao pete za uchumba kama wao wavishwavyo.
Mi saifiki bana.! haingii akilini kidume aliye timilifu akavishwe pete ya uchumba na m/ke
swali kwako mziwanda.
Unawezaje kuibadili fikra hii kwa wazazi na familia yako bila kutiliwa shaka yeyote na wanajamii wako juu ya utimilifu wako kama mtoto wa kiume.?
Waheshimiwa! Nimezisoma hizo contributional zenu lakini mimi niko na mtazomo tofauti kidogo kuhusu issue yenyewe lakini bado ndani ya mstari PETE.
Je? nini hasa maana(the logic behind) ya pete ya uchumba/ Ndoa kwa coupes.
Maandiko Matakatifu ya Biblia na quran yanasemaje kuhusu Pete?
Kimtazamo wangu Pete ya uchumba/Ndoa haina mantiki yeyote kwa coupes ila ni western culture ambazo tunajaribu kuiga sisi waafrika, ebu jiulize wazee wetu wa zamani walikuwa wanavishana nini? na ndoa au uchumba vilishamili tuu.
Kwahiyo issue ya nani amvishe na nani avishwe between Man and woman nafikili sio issue, regardness kuwe na dhamila ya kweli kwa wahusika.
Nadhani pete za uchumba zisiwepo kabisa hata kwa wanawake, kwani hazina maana tena baada ya ndoa. Zinaongeza tu gharama kwa mwanaume.
Haa haa haaa !! Yupo humu humu JF lakini hajui ID yangu, labda aunganishe events na post ninazozibandika !!!duh! thanks 2749!!! for the newly married couple. ila angalia mama watoto mtarajiwa asikusikie mkuu
Haa haa haaa !! Yupo humu humu JF lakini hajui ID yangu, labda aunganishe events na post ninazozibandika !!!