Pete Za Harusi

Pete Za Harusi

Safari_ni_Safari

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2007
Posts
23,265
Reaction score
17,120
Safi Sana hii design

nut-and-bolt-wedding-ring.jpg
 
Sasa sijui ya mume ipi na mke ipi...maana hiyo ya shoto ina kadaimondi...sijui maana yake
 
Basi mimi nilizitazama tofauti, nilifikiri mvaaji ni mmoja ila yenye nut inafungwa na hiyo bolt, kwa hiyo itakuwa juu! lol...
 
aliyedesign hizo pete alilenga ku-communicate maana halisi ya neno NDOA, read between the lines...
 
Sasa sijui ya mume ipi na mke ipi...maana hiyo ya shoto ina kadaimondi...sijui maana yake

Ipi inaingia kwa nyingine? Ukiangilia utaona kirahisi tu kuwa kuna moja inamvaa mwenzake... hope it makes some senses..LOL
 
labda wakiwa maharusi hao ni mechanics itafaa sasa wenzangu mie wahapahapa itakuwaje hapo
Conquest-WAPENI MVINYO MASIKINI WASAHAU SHIDA ZAO NA WAPUMZIKE :tonguez:
 
Tatizo mkipeana kisogo tu bolt inapata nut nyingine na vice-versa kwa nut
 
It is nut and bolt in sophisticated machines!!
Na kama nipete za harusi hakiaanani mkivisha tu!! lazima mtaachana!
 
kwa hesabu za haraka hizo pete zimetengenezwa china
 
Back
Top Bottom