Pete Za Harusi

nadhani hizi pete ni kwa ajili ya watu wa field fulani.
 
kwa hesabu za haraka hizo pete zimetengenezwa china
Naamini umekosea hesabu zako. Hizo zitakuwa zimetengenezwa japan. Japan wanasiku maalum ya kusherekea bolt harisi ya mwanamume na wanaitukuza. China hawakowazi sana kwa mambo hayo!!
 
Nimeipenda ......mhhhh.........sasa du ....kazi kwelikweli.....zimechakachuliwa....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…