Mimi ninaamini kwamba lengo la pete za ndoa ni kuonyesha kwamba huyu mtu (Mwanamke au Mwanaume) ameoa ama ameolewa. Kinacho nishangaza na nimeshuudia hawa jamaa wenye pete wana mahusiano nje ya ndoa na mkononi ana pete kubwaaaaaaaa sasa je wahusika wanapokuwa wana anza haya mahusiano uzi tupa kando then wakifanikiwa wanazivaa? Je dada zetu na kaka zetu wana watamani watu walio ndani ya ndoa? au ni fashion? who is to blame?
pete ni gamba tu jamani.
tuacheni unafiki, kama umeoa, basi penzi tamu liko nje na si ndani ya ndoa. huko nje kutamu jamani msisiskie. na hutokana na wanawake wakishaolewa kubweteka wakitaka mwanaume awatumikie badala ya wao kumtumikia kwa malovee. zamani nilikuwa namtwanga sana wife makofi kila anapoleta za kuleta, baadaye nikagundua kitu, solution ni kuwa na nyumba mbili, moja kubwa ya kutunzia status na nyingine ndogo ya kula na kufaidi nchi! tangu nimekuwa kwenye hii modality, life is so sweet and smoooth kabisa!!
ila wife nikisikia tu kanusa nje, anakula ban!

Kumbuka kuna wengine wanavaa pete kama fashion kwa hiyo sio wote unaowaona na pete za ndoa wameolewa au kuoa
Pete kama fashion its okay lakini kila kidole kinamaana yake..... pengine sio fashion ni kuto elewa hivi vidole vinamaanisha nini vikiwa na pete!!!
Haswa !! Nilikusudia kuuliza swali hili ,kuhusu pete vidoleni na maana yake
kwa kila kidole wataalamu tupeni ufafanuzi.