Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Ivi Crouch ana miaka mingapi sasa hivi?Star asiyeimbwa, kuna goli moja la tik tak alipiga akiwa liver acha tuu
Sent using Jamii Forums mobile app
38Ivi Crouch ana miaka mingapi sasa hivi?
Ameanza kunusa mafao ya mpira
hajatosheka ndio maana amerudi tena, inaonekana ni muhanga wa kikotoo.Ameanza kunusa mafao ya mpira
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]hajatosheka ndio maana amerudi tena, inaonekana ni muhanga wa kikotoo.
roger milla aligonga mpaka miaka 43.[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Kipindi cha mpito kina ladha yake
Duh! Kamzidi Kagere miaka 12.
tukiuendekeza umri mambo mengi yatatushinda kuyatekelezaDuh! Kamzidi Kagere miaka 12.
ina maana kagere ana miaka 26?Duh! Kamzidi Kagere miaka 12.
hajatosheka ndio maana amerudi tena, inaonekana ni muhanga wa kikotoo.
unataka kuuambia umma kwamba Kagere ni 26 !Duh! Kamzidi Kagere miaka 12.