Peter Kisumo Vs. Anne Killango - vita vya maneno


Una ushahidi gani kwamba "haiwezekani kuwa haya maneno yametungwa na waandishi" especially kama wewe na huyu mama wote mnaonyesha kutokuwa na uhakika kwamba huyu Kisumo kasema haya?


Kilango ni msanii tu anayecheza na sympathy za watu pamoja na ku ride public opinion.Hana conviction ya kweli, siku moja anajifanya ana uchungu sana kiasi cha kum blast hata mume wake, siku nyingine anakuwa Kisumo apologist.Huyu Mama ni bonge la opportunist na zaidi ya yote ni opportunist asiyejua calculation, bonge la birdbrain, na kama birdbrain yeyote atakuwa exposed very soon kama wenzake kina Mrema and them waliotaka sifa kwa kutumia matatizo ya watu.Yes, I said it.


There you go with your usual incomprehensible ramblings.Yaani wewe unataka kunichagulia jinsi ya kufikiri? Halafu ndiyo unapiga vita ufisadi wakati hapa unataka ku exercise ufisadi wa ku monopolize fikra? This is one shogun you can never monopolize. Mimi sina upungufu wa maadili kiasi cha kuuza utu kwa kudanganya watu eti kiongozi kumbe kama ulivyotuonyesha hapo juu anachojali ni career yake tu.Huyu mama msanii tu radar zangu zishamshtukia.Tena above being msanii he is a social climber ila watu wengine washafika bei kwa mawenge.

na besides Mama Kilango siye aliyenunua Kiwira na Mkapa, huku wananchi wanakufa na njaa, aibuu!

Oldest trick in the book, when you don't have anything to say, obfuscate by introducing non related irrelevancies.Wewe huna tofauti na Kikwete anayeenda kuongelea mambo ya wasichana kupata mimba wakati nchi iko in the middle of crises.

Ahsante Mkuu!

Usinishukuru mimi, shukuru hao mafisadi kwenye ngozi ya wanamapinduzi.
 
FMES said:
Mama Kilango, ana washauri wazuri sana wanaomlinda kisiasa, yeye ni mbunge mwanamke wa Same East, ambako mwanamke bado ni mwanamke na hizi za kisumo ni siasa za jimbo la Ubunge, sio za taifa kama unavyofikiri,

FMES,

..1995 Gladness Mziray alimshinda Sammy Mdee[r.i.p], rafiki wa karibu wa Peter Kisumo, katika kura za maoni CCM Same Magharibi.

..Kisumo kama bado ana influence yoyote ktk siasa za Kilimanjaro itakuwa ni ktk jimbo la Mwanga anakotokea.

..pia si kweli kwamba wagombea wanawake wanadharaulika ktk wilaya ya Same.

..katika kura za maoni za CCM 2005, Mrs. Malecela, na Mrs.Kaboyoka, walimshinda Daniel Yona aliyekuwa waziri ktk serikali ya Mkapa.
 

Thanks, Pundit. Jana niliandika the same thing, watu wakaniona kama nime-data vile. Huyu madame Malecela, Slaa, na Zitto wote ni walewale.They are just after masifa tu! Hawana chochote kabisa!

As a matter of fact, wanapiga domo tu kujijengea majina. They are all whinners!!
 
naona kisumo ameeanza tena kujipendekeza, sijui kuna kitu gani anacho fukuzia?
 
naona kisumo ameeanza tena kujipendekeza, sijui kuna kitu gani anacho fukuzia?
August asante kwa kuibua hii thread, kwa sisi tuliojiunga juzijuzi, inatupatia fursa na kupata backround nyingi za wanasiasa wetu, wengine wanaonekana ni mashujaa huku wengine wakiwaona ni wachemkaji, ila kitu kizuri/kibaya, naona kama zamani wanaJF walikuwa wakijenga hoja kwa kutumia 'nguvu za hoja' zaidi kuliko sasa naona kama ni 'hoja za nguvu' zaidi.
 
Hii ni ya zamani kidogo lakini si vibaya kuisoma tena🙄!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…