Peter Kupaza, Mtanzania aliemuua dada yake nchini Marekani

Nataka kuamini hili ila je damu iliyokutwa chooni? Na kwanini jamaa adanganye kuhusu dada kurudi nyumbani? Hapa tuseme ishu ni visa.

Kwanini alimdanganya mwanamke mwingine?



Kuna maswali mengi yanayokosa majibu.
Nataka kuamini hili ila je damu iliyokutwa chooni? Na kwanini jamaa adanganye kuhusu dada kurudi nyumbani? Hapa tuseme ishu ni visa.

Kwanini alimdanganya mwanamke mwingine?



Kuna maswali mengi yanayokosa majibu.
Damu ilikaa miezi sita
 
Hapo ni mtalaka kampiga pini jamaa,
usiombe mwanamke aliyekupenda akakuchukia.
Imekutokea nini dogo? Halafu ulivyo na mkwara ulivyovamiwa kitaa magoneni ukawa mpolee. Eti baada ya siku kadhaa ukamtafuta mmoja baada ya mwengine.
 
Kisa cha ajabu sana
 
Asante sana mtoa mada. Mimi leo Feb 9 ndio naangalia documentary za true crime na imekuja hii nimeshangaa sana level waliyofikia wenzetu katika kusolve case. Especially kwenye facial reconstruction aisee shikamoo.

 
Hii
Hii kesi kwa wenyeji wa morogoro na wale wa junio seminary wanaijua vizuri hasa kina Elizabeth mwambashi lusia lema baraka aminieli Frank kilekalile nk
Mjumlishe na Zaka,Nico,Seba...et al
 
Naikumbuka Kesi hii.
Iifuatiliwa kwa ukaribu na Vyombo vya habari vya IPP media wakati ule.
Inafikirisha
 
Ukisoma story yote jamaa kasetiwa tu akapigwa miaka.huyo demu ndio muuaji ametengeneza tu fiction kumkomoa jamaa.
Na yule stranger aliyewaonyesha mifuko ile family na kuwaambia pigeni simu polisi kisha akatokomea yu wapi?
Angekua wa kwanza kukamatwa
Hii ya kumkamata mtoa taarifa ipo Tanzania mkuu, Marekani hawafanyi hivyo.
 
Siku moja nikiwa Ulaya naangalia DISCOVERY CHANNEL usiku, wakaushusha mkasa HUU mzima kwenye KIPINDI CHA FORENSIC FILES. Nilishangaa mno
 
Hawa jamaa walijua wanachokifanya. Ila kupaza hakuhusika kabisa
Nikupe siri? Wabongo siyo waaminifu sana kwenye mahusiano, halafu mzungu akishaingia KWENYE mahusiano na mbongo na ambaye yuko smart, chances ni kwamba mzungu atayapenda sana mahusiano HAYO. TATIZO LILILOPO NI KWAMBA NGOZI NYEUSI NI superior KWENYE mahusiano, ukilinganisha na nyeupe. TATIZO SASA linakuja KUTOKEA baadaye pale NGOZI nyeusi inapokuwa haitaki tena kuendelea na ngozi nyeupe na hivyo kuamua kugeukia KWENYE NGOZI nyeusi, na kutelekeza ngozi NYEUPE. HAPO SASA NI MTU anakuwa kama anazima moto kwa kutumia mafuta ya petrol. Achana na wazungu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…