The Sheriff
JF-Expert Member
- Oct 10, 2019
- 747
- 2,112
Mbunge wa jimbo la Kilombero ambaye amehama chama cha CHADEMA na kujiunga Chama cha Mapinduzi (CCM) Peter Lijualikali mapema leo amechukua fomu ya kuomba ridhaa ya kuchaguliwa kugombea jimbo hilo kwa mara nyingine kipitia Chama cha Mapinduzi (CCM).