The Sheriff
JF-Expert Member
- Oct 10, 2019
- 747
- 2,112
Atachukua Form Muda Siyo Mrefu Sana
Atachukua Form Muda Siyo Mrefu Sana
Unajua Ijumaa Na Jumamosi Ndiyo Wengi Sana Utawaona Wakihaha
Huyu si ataliaHuyu nina uhakika hatapita kwenye mchujo.
Kuchukua Hakuhitaji HayoKwani kashinda kura za maoni?
Ameshapita,agizo toka juu ni kwamba asitokee mwanaccm yoyote kuchukua form mahali alipo Mbunge au diwani aliyenunuliwa toka Chadema.Huyu nina uhakika hatapita kwenye mchujo.
Ameshapita,agizo toka juu ni kwamba asitokee mwanaccm yoyote kuchukua form mahali alipo Mbunge au diwani aliyenunuliwa toka Chadema.
NITAMUULIZA ALINUNULIWA SHILINGI NGAPIMbunge wa jimbo la Kilombero ambaye amehama chama cha CHADEMA na kujiunga Chama cha Mapinduzi (CCM) Peter Lijualikali mapema leo amechukua fomu ya kuomba ridhaa ya kuchaguliwa kugombea jimbo hilo kwa mara nyingine kipitia Chama cha Mapinduzi (CCM).
Huyu hawezi kushinda.Ifakara ni CHADEMA muulize yeyote.Nabii Shilla tukonaye pamojaWana Ifakara mkataeni msaliti huyu mwacheni alie mpaka apate akili.
kwa msaada wa Baba mkwe wake usishangae akapitaKijana hawezi pitishwa na ccm, maana bado ugimbi haujamtoka