SSH2025_2030
JF-Expert Member
- Jul 9, 2012
- 9,661
- 9,814
Mkoloni mweusi ni mbaya kuliko wakoloni wenyewe.Kama mnavyojua Sudani Kusini imepata Uhuru wake 2013. Salva Kiir atakumbukwa kwa kuipitisha nchi hiyo kwenye mikwamo mingi. Amechoka hadi akachoka tena. Ila ndo haachii madaraka mpaka kifo.
Kitu kimeitika huko. Andaa Suti, ilani na kadi ya Chama Chetu kukwea Boeing 787 pamoja na Mwijaku, Baba Levo na Steven MengeloMkoloni mweusi ni mbaya kuliko wakoloni wenyewe.
Salva anadhani SS ni mali yake.
Hivi karibuni ataondoka.
SUti nyeusi au ?Kitu kimeitika huko. Andaa Suti, ilani na kadi ya Chama Chetu kukwepa Boeing 787
Siku msechu naye kaitwa akaitika, itakuwaje yaaniKama mnavyojua Sudani Kusini imepata Uhuru wake 2013. Salva Kiir atakumbukwa kwa kuipitisha nchi hiyo kwenye mikwamo mingi. Amechoka hadi akachoka tena. Ila ndo haachii madaraka mpaka kifo.