Tetesi: Peter Msechu aelekea Zimbabwe

Uzuri ni kwamba Peter Msechu anakuwa ameshaandaa kabisa nyimbo kabla msiba haujatokea.

Basi mtu akifua yeye anachofanya ni kuweka tu jina la huyo mwendazake.

Sina shaka na Peter, natumai pafomansi yake itabamba.
 
Ndio biashara aliyo ichagua na inamuweka mjini na piss zake mkuu....
Kuna jamaa yangu mmoja anafanya kazi mortuary/mochwari, mpunga anaupata naona piss zinamgombania balaa...🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…